sw_tn/lev/10/12.md

342 B

sadaka ifanywayo kwa Yahweh kwa moto

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Sadaka za kuteketezwa kwa Yahweh"

kwa kuwa ni takatifu sana

"kwa kuwa sadaka ya nafaka ni takatifu sana"

hivi ndivyo nimeamriwa kuwaambia ninyi

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa tendakji. : "hivi ndivyo Yahweh ameniamru kuwaambia ninyi"