# sadaka ifanywayo kwa Yahweh kwa moto Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Sadaka za kuteketezwa kwa Yahweh" # kwa kuwa ni takatifu sana "kwa kuwa sadaka ya nafaka ni takatifu sana" # hivi ndivyo nimeamriwa kuwaambia ninyi Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa tendakji. : "hivi ndivyo Yahweh ameniamru kuwaambia ninyi"