sw_tn/lev/10/03.md

20 lines
1005 B
Markdown

# "Hiki ndicho Yahweh alichokuwa akikiongelea aliposema, 'Nitaufunua utakatifu wangu... mbele za watu wote'"
Hii ina nukuu ndani ya nukuu. Nukuu halisi yaweza kutamkwa kama nukuu taarifa iliyotajwa. : "Hiki ndicho Yahweh alichokuwa akiongelea alliposema kwamba angefunua takatifu wake...wamkaribiao yeye, na ya kwamba yeye atatukuzwa...watu
# Nitaufunua utakatifu wangu kwa wale wanikaribiao
Kile kirai "wale wanikaribiao" humaanisha makuhani wamtumikiao Yahweh. "Nitawaonyesha wale ambao hukaribia kunitumikia kwamba Mimi ni mtakatifu" au "Wale wanaokuja karibu ili kunitumikia lazima wanitendee kama mtakatifu.
# Nami nitatukuzwa mbele za watu wote
Sehemu hii ya pili ya tamko la Yahweh bado linamhusu kuhani, ambaye ni mmoja wa wanaomkaribia Yahweh. "Laazima wanitukuze mbele za watu wote" au "Lazima waniheshimu katika uwepo wa watu wote"
# Mishaeli...Elzafani...Uzieli
Haya ni majina ya watu
# ndugu zenu
Hii haimanishi kwamba walikuwa ndugu halisi. "Ndugu" hapa humaanisha jamaa au binamu.