sw_tn/lev/10/03.md

1005 B

"Hiki ndicho Yahweh alichokuwa akikiongelea aliposema, 'Nitaufunua utakatifu wangu... mbele za watu wote'"

Hii ina nukuu ndani ya nukuu. Nukuu halisi yaweza kutamkwa kama nukuu taarifa iliyotajwa. : "Hiki ndicho Yahweh alichokuwa akiongelea alliposema kwamba angefunua takatifu wake...wamkaribiao yeye, na ya kwamba yeye atatukuzwa...watu

Nitaufunua utakatifu wangu kwa wale wanikaribiao

Kile kirai "wale wanikaribiao" humaanisha makuhani wamtumikiao Yahweh. "Nitawaonyesha wale ambao hukaribia kunitumikia kwamba Mimi ni mtakatifu" au "Wale wanaokuja karibu ili kunitumikia lazima wanitendee kama mtakatifu.

Nami nitatukuzwa mbele za watu wote

Sehemu hii ya pili ya tamko la Yahweh bado linamhusu kuhani, ambaye ni mmoja wa wanaomkaribia Yahweh. "Laazima wanitukuze mbele za watu wote" au "Lazima waniheshimu katika uwepo wa watu wote"

Mishaeli...Elzafani...Uzieli

Haya ni majina ya watu

ndugu zenu

Hii haimanishi kwamba walikuwa ndugu halisi. "Ndugu" hapa humaanisha jamaa au binamu.