sw_tn/lev/09/06.md

577 B

amewaamru nyinyi mfanye

"Nyinyi" hapa humaanisha watu wa Israeli.

ili kwamba utukufu wake uweze kuonekana kwenu

"Utukufu" hapa huwakilisha uwepo wa Yahweh. : ""ili kwamba aweze kuonyesha utukufu wa uwepo wake"

kufanya upatanisho kwa ajili yako mwenyewe.. na kwa ajili ya watu ili kufanya upatanisho kwa ajili yao

Hizi ni dhabihu mbili tofauti. Dhabihu ya kwanza ni kupatanisha kwa ajili ya dhambi za kuhani mkuu. Kuhani mkuu anapotenda dhambi, hiyo dhambi huwafanya watu wawe na hatia. (Tazama 4:1) Dhabihu ya pili ni kupatanisha dhambi za watu wanazotenda wenyewe.