forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
577 B
Markdown
12 lines
577 B
Markdown
|
# amewaamru nyinyi mfanye
|
||
|
|
||
|
"Nyinyi" hapa humaanisha watu wa Israeli.
|
||
|
|
||
|
# ili kwamba utukufu wake uweze kuonekana kwenu
|
||
|
|
||
|
"Utukufu" hapa huwakilisha uwepo wa Yahweh. : ""ili kwamba aweze kuonyesha utukufu wa uwepo wake"
|
||
|
|
||
|
# kufanya upatanisho kwa ajili yako mwenyewe.. na kwa ajili ya watu ili kufanya upatanisho kwa ajili yao
|
||
|
|
||
|
Hizi ni dhabihu mbili tofauti. Dhabihu ya kwanza ni kupatanisha kwa ajili ya dhambi za kuhani mkuu. Kuhani mkuu anapotenda dhambi, hiyo dhambi huwafanya watu wawe na hatia. (Tazama 4:1) Dhabihu ya pili ni kupatanisha dhambi za watu wanazotenda wenyewe.
|