sw_tn/lev/08/14.md

407 B

wakaweka mikono yao juu ya kichwa

Tazama jinsi lilivyofasiriwa katika sura ya 1:3

mpembe za madhabahu

Tazama jinsi lilivyofasiriwa katika sura ya 4:6

kuitenga kwa Mungu

"tenga madhabahu kwa ajili ya Mungu"

kufaa kwa kufanyia upatanisho.

"Upatanisho" hapa humaanisha kuifanya madhabahu ifae katika kumtumikia Mungu. : "ili kuifanya mahali pa kufaa kwa ajili ya kuteketezea dhabihui ya dhambi"