# wakaweka mikono yao juu ya kichwa Tazama jinsi lilivyofasiriwa katika sura ya 1:3 # mpembe za madhabahu Tazama jinsi lilivyofasiriwa katika sura ya 4:6 # kuitenga kwa Mungu "tenga madhabahu kwa ajili ya Mungu" # kufaa kwa kufanyia upatanisho. "Upatanisho" hapa humaanisha kuifanya madhabahu ifae katika kumtumikia Mungu. : "ili kuifanya mahali pa kufaa kwa ajili ya kuteketezea dhabihui ya dhambi"