sw_tn/lev/07/35.md

464 B

sadaka zilizofanywa kwa Yahweh kwa moto

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Sandaka za kuteketezwa kwa ajili ya Yahweh"

ambao Yahweh aliamru waweze kupewa kutoka kwa watu wa Israel

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "aliyowaamru Yahweh watu wa Israeli kuitoa kwao"

hiyo aliyowatia mafuta ya upako wawe makuhani

ambayo Musa aliwapaka mafuta makuhani".

katika vizazi vyote

Hii yaweza kufasiriwa kama katia sura ya 3:15