# sadaka zilizofanywa kwa Yahweh kwa moto Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Sandaka za kuteketezwa kwa ajili ya Yahweh" # ambao Yahweh aliamru waweze kupewa kutoka kwa watu wa Israel Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "aliyowaamru Yahweh watu wa Israeli kuitoa kwao" # hiyo aliyowatia mafuta ya upako wawe makuhani ambayo Musa aliwapaka mafuta makuhani". # katika vizazi vyote Hii yaweza kufasiriwa kama katia sura ya 3:15