forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
1.1 KiB
Markdown
24 lines
1.1 KiB
Markdown
# Kwa hiyo Yahweh akazungumza na Musa na akasema, "Zungumza na watu wa Israeli na uwaambie, 'Yeye atoaye
|
|
|
|
Hii ina nukuu ndani ya nukuu. Nukuu ya moja kwa moja yaweza kutamkwa kama nukuu taarifa yenyekutajwa. : Kisha Yahweh akazungumza na Musa na akamwambia awaambie watu wa Israeli kwamba: 'Yeye atoaye"
|
|
|
|
# Mikono yake mwenyewe lazima iilete hiyo sadaka ifanywayo kwa Yahweh kwa moto
|
|
|
|
Kile kirai "ifanywayo kwa moto" yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "Yeye mwenyewe analazimika kuileta sadaka anayopanga kuiteketeza kama dhabihu kwa Yahweh"
|
|
|
|
# Mikono yake mwenyewe
|
|
|
|
"Mikono" humwakilisha mtu mzima. : "yeye mwenyewe anapaswa kuileta"
|
|
|
|
# kidari
|
|
|
|
Sehemu ya mbele ya mwili wa mnyama iliyoko chini ya shingo
|
|
|
|
# ili kwamba kidari kiweze kutikiswa kuwa sadaka ya kutikiswa mbele za Yahweh.
|
|
|
|
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "ili kwamba kuhani aweze kuiwasilisha kwa Yahweh kama sadaka ya kutikiswa"
|
|
|
|
# kiweze kutikiswa kuwa sadaka ya kutikiswa mbele za Yahweh.
|
|
|
|
Kuiinua juu sadaka ni mfano wa ishara unaoonyesha kwamba mtu anaiweka wakfu dhabihu kwa Yahweh.
|