sw_tn/lev/07/17.md

768 B

katika siku ya tatu

ya tatu hii ni namba ya kawaida kwa tatu. : "baada ya siku mbili"

lazima ichomwe moto

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. " : "mtu anayepaswa uiteketeza"

Iwapo kipande chochote cha nyama hiyo ya dhabihu kinachobaki kinaliwa katika siku ya tatu

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "iwapo mtu yeyote anakula nyama yake ya sadaka

hakitakubalika

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "Yahweh hataikubali"

wala hakitatolewa kwa aliyeitoa

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "wala Yahweh hataiheshimu dhabihu ambayo huyo mtu aliitoa"

atabeba hatia ya dhambi mwenyewe yake

Mtu anayewajibika kwa dhambi aliyoitenda anazungumziwa kana kwamba anapaswa kubeba kimaumbile hiyo hatia.