sw_tn/lev/07/17.md

24 lines
768 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# katika siku ya tatu
ya tatu hii ni namba ya kawaida kwa tatu. : "baada ya siku mbili"
# lazima ichomwe moto
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. " : "mtu anayepaswa uiteketeza"
# Iwapo kipande chochote cha nyama hiyo ya dhabihu kinachobaki kinaliwa katika siku ya tatu
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "iwapo mtu yeyote anakula nyama yake ya sadaka
# hakitakubalika
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "Yahweh hataikubali"
# wala hakitatolewa kwa aliyeitoa
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "wala Yahweh hataiheshimu dhabihu ambayo huyo mtu aliitoa"
# atabeba hatia ya dhambi mwenyewe yake
Mtu anayewajibika kwa dhambi aliyoitenda anazungumziwa kana kwamba anapaswa kubeba kimaumbile hiyo hatia.