sw_tn/lev/07/11.md

946 B

mikate isiyotiwa hamira, bali iliyochanganywa na mafuta ya zeituni

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "ya mikate aliyoifanya pasipo kutia hamira bali kwa kuchanganya na mafuta.

vipande vya mkate...iliyochanganywa na mafuta ya zeituni

"Vipande vya mkate" hapa humaanisha mkate mnene

kaki zisizotiwa hamira, lakini ziwe zimefanywa kwa mafuta ya zeituni yaliyopakwa juu yake

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji: : ya mikate miembamba aliyoifanya bila hamira bali kwa kuipaka mafuta"

kaki...zilizopakwa mafuta

"Kaki" hapa humaanisha mkate mwembamba.

mikate iliyofanywa kwa unga laini uliochanganywa vema na mafuta

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "ya mikate aliyoitengeneza kwa unga laini uliochanganywa na mafuta"

mikate iliyofanywa kwa unga laini

"Mikate'" hapa humaanisha mkate mnene. Hufanana na aina ya ule mkate wa kwanza isipokuwa wenyewe unafanywa kwa unga uliolaini zaidi