sw_tn/lev/07/11.md

24 lines
946 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mikate isiyotiwa hamira, bali iliyochanganywa na mafuta ya zeituni
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "ya mikate aliyoifanya pasipo kutia hamira bali kwa kuchanganya na mafuta.
# vipande vya mkate...iliyochanganywa na mafuta ya zeituni
"Vipande vya mkate" hapa humaanisha mkate mnene
# kaki zisizotiwa hamira, lakini ziwe zimefanywa kwa mafuta ya zeituni yaliyopakwa juu yake
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji: : ya mikate miembamba aliyoifanya bila hamira bali kwa kuipaka mafuta"
# kaki...zilizopakwa mafuta
"Kaki" hapa humaanisha mkate mwembamba.
# mikate iliyofanywa kwa unga laini uliochanganywa vema na mafuta
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "ya mikate aliyoitengeneza kwa unga laini uliochanganywa na mafuta"
# mikate iliyofanywa kwa unga laini
"Mikate'" hapa humaanisha mkate mnene. Hufanana na aina ya ule mkate wa kwanza isipokuwa wenyewe unafanywa kwa unga uliolaini zaidi