sw_tn/lev/06/16.md

484 B

ni lazima iliwe

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "Yawapasa kuila"

Haitaokwa pamoja na hamira

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "msiioke na hamira"

matoleo... yafanywayo kwa moto

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "sadaka za kuteketeza"

Yeyote ayagusaye atakuwa mtakatifu."

Hili ni onyo limaanishalo kwamba hao walio wa uzao wa Aroni wasio wanaume haikuwapasa kuigusa hiyo sadaka. Maana kamili ya kauli hii yaweza kuwa wazi.