sw_tn/lev/06/16.md

16 lines
484 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ni lazima iliwe
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "Yawapasa kuila"
# Haitaokwa pamoja na hamira
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "msiioke na hamira"
# matoleo... yafanywayo kwa moto
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "sadaka za kuteketeza"
# Yeyote ayagusaye atakuwa mtakatifu."
Hili ni onyo limaanishalo kwamba hao walio wa uzao wa Aroni wasio wanaume haikuwapasa kuigusa hiyo sadaka. Maana kamili ya kauli hii yaweza kuwa wazi.