forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
509 B
Markdown
12 lines
509 B
Markdown
# Kisha Yahweh akazungumza na Musa akisema, "Mwagize Aroni na wanawe, kusema, 'hii ndiyo sheria
|
|
|
|
Hii ina nukuu ndani ya nukuu. nukuu ya moja kwa moja yaweza kutamkwa kama nukuu taarifa yenyekutajwa. : "Kisha Yahweh akazungumza na Musa na kumwambia kumwamru Aroni na wanawe, akisema, 'Hii ndiyo sheria'"
|
|
|
|
# juu ya meko ya madhabahu
|
|
|
|
"Lazima iwe juu ya madhabahu"
|
|
|
|
# nao moto wa madhabahu utaendelea kuwaka.
|
|
|
|
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "yapasa uufanye moto wa madhabuni uendelee kuwaka"
|