sw_tn/lev/06/08.md

509 B

Kisha Yahweh akazungumza na Musa akisema, "Mwagize Aroni na wanawe, kusema, 'hii ndiyo sheria

Hii ina nukuu ndani ya nukuu. nukuu ya moja kwa moja yaweza kutamkwa kama nukuu taarifa yenyekutajwa. : "Kisha Yahweh akazungumza na Musa na kumwambia kumwamru Aroni na wanawe, akisema, 'Hii ndiyo sheria'"

juu ya meko ya madhabahu

"Lazima iwe juu ya madhabahu"

nao moto wa madhabahu utaendelea kuwaka.

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "yapasa uufanye moto wa madhabuni uendelee kuwaka"