sw_tn/lev/05/05.md

218 B

Maelezo kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa yawapasayo watu kutenda.

naye kuhani atafanya upatanisho

Ile nomino dhahania "Upatanisho" yaweza kutamkwa kama kitenzi. : "Kuhani atapatanisha kwa ajili yake"