# Maelezo kwa Ujumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa yawapasayo watu kutenda. # naye kuhani atafanya upatanisho Ile nomino dhahania "Upatanisho" yaweza kutamkwa kama kitenzi. : "Kuhani atapatanisha kwa ajili yake"