sw_tn/lev/04/08.md

571 B

Naye atayakata

"Kuhani atayakata"

yale mafuta yanayofunika matumbo. ..pamoja na figo—ataikata hii yote

Yale maelezo "ataikata hii yote" yaweza kuwekwa mwanzoni mwa sentensi. : "Atayakata mafuta yote yafunikayo matumbo...pamoja na hizo figo"

matumbo.

Haya ni tumbo na utumbo

karibu na kiuno

Hii ni sehemu ya mwili juu ya upande wa ndani wa uti wa mgongo kati ya mbavu na mfupa wa nyonga.

kitambi cha in

Hii ni sehemu ya ini iliyojikunja au kulizunguka. Sehemu hii huonekana kuwa ni sehemu ya ini iliyobora kabisa kwa kula. : "Sehemu ya ini iliyobora"