sw_tn/lev/04/08.md

20 lines
571 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Naye atayakata
"Kuhani atayakata"
# yale mafuta yanayofunika matumbo. ..pamoja na figo—ataikata hii yote
Yale maelezo "ataikata hii yote" yaweza kuwekwa mwanzoni mwa sentensi. : "Atayakata mafuta yote yafunikayo matumbo...pamoja na hizo figo"
# matumbo.
Haya ni tumbo na utumbo
# karibu na kiuno
Hii ni sehemu ya mwili juu ya upande wa ndani wa uti wa mgongo kati ya mbavu na mfupa wa nyonga.
# kitambi cha in
Hii ni sehemu ya ini iliyojikunja au kulizunguka. Sehemu hii huonekana kuwa ni sehemu ya ini iliyobora kabisa kwa kula. : "Sehemu ya ini iliyobora"