sw_tn/lev/04/04.md

16 lines
385 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa kiwapasacho watu kutenda.
# Atamleta huyo fahali
"Kuhani atamleta huyo fahali"
# ataweka mikono yake juu ya kichwa chake
Tazama maelezo ya sura 1:3 uone lilifasiriwa.
# Kuhani mpakwa mafuta atachukua sehemu ya damu
Inaonyesha kwamba kuhani aliikinga kwanza damu kwenye bakuli ilipokuwa inachuruzika kutoka kwa huyo mnyama.