sw_tn/lev/04/04.md

385 B

Taarifa kwa ujumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa kiwapasacho watu kutenda.

Atamleta huyo fahali

"Kuhani atamleta huyo fahali"

ataweka mikono yake juu ya kichwa chake

Tazama maelezo ya sura 1:3 uone lilifasiriwa.

Kuhani mpakwa mafuta atachukua sehemu ya damu

Inaonyesha kwamba kuhani aliikinga kwanza damu kwenye bakuli ilipokuwa inachuruzika kutoka kwa huyo mnyama.