sw_tn/lev/03/09.md

1004 B

sadaka ifanywayo kwa moto

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "kuwa sadaka ya kuteketezwa"

Yale mafuta, mafuta yote...na hizo figo —ataiondoa hii yote.

Lile tamko "ataiondoa hii yote" laweza kuwekwa mwanzoni mwa sentensi. : "Atayaondoa mafuta, hayo mafuta yote...hizo figo"

matumbo

Sehemu hizi ni tumbo na utumbo.

yaliyo karibu na matumbo, na figo zote mbili

Sentensi mpya yaweza kuanzia hapa. : "iliyo karibu na mbatumbo. Ni lazima ataziondoa hizo figo"

karibu na kiuno

Hii ni sehemu ya mwiili kwenye sehemu ndani ya uti kati ya mbavu na mfupa wa nyonga.

kitambi cha ini

Hii ni sehemu ya ini yenyekupinda au kulizunguka. Sehemu hii huonekana kuwa bora sana kwa kula. : "ile sehemu ya ini iliyobora kabisa"

ataiteketeza yote juu ya madhabahu kuwa sadaka ya chakula ya kuteketezwa kwa Yahweh

Hapa haikukusudiwa kumaanisha kwamba Yahweh hula chakula. : "ataviteketeza vitu hivyo juu ya madhabahu viwe sadaka kwa Yahweh. Vitu hivyo vitatokana na mazao yako ya chakula"