sw_tn/lev/03/09.md

28 lines
1004 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# sadaka ifanywayo kwa moto
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "kuwa sadaka ya kuteketezwa"
# Yale mafuta, mafuta yote...na hizo figo —ataiondoa hii yote.
Lile tamko "ataiondoa hii yote" laweza kuwekwa mwanzoni mwa sentensi. : "Atayaondoa mafuta, hayo mafuta yote...hizo figo"
# matumbo
Sehemu hizi ni tumbo na utumbo.
# yaliyo karibu na matumbo, na figo zote mbili
Sentensi mpya yaweza kuanzia hapa. : "iliyo karibu na mbatumbo. Ni lazima ataziondoa hizo figo"
# karibu na kiuno
Hii ni sehemu ya mwiili kwenye sehemu ndani ya uti kati ya mbavu na mfupa wa nyonga.
# kitambi cha ini
Hii ni sehemu ya ini yenyekupinda au kulizunguka. Sehemu hii huonekana kuwa bora sana kwa kula. : "ile sehemu ya ini iliyobora kabisa"
# ataiteketeza yote juu ya madhabahu kuwa sadaka ya chakula ya kuteketezwa kwa Yahweh
Hapa haikukusudiwa kumaanisha kwamba Yahweh hula chakula. : "ataviteketeza vitu hivyo juu ya madhabahu viwe sadaka kwa Yahweh. Vitu hivyo vitatokana na mazao yako ya chakula"