sw_tn/lev/02/11.md

827 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa kwamba watu hao na makuhani yawapasa wafanye hivyo ili sadaka zao ziweze kukubalika kwake

Hakutakuwa na sadaka ya nafaka utoayo kwa Yahweh itakayofanyizwa kwa hamira

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "Usitumie hamira kwenye sadaka ya nafaka uitoayo kwa Yahweh"

kuwa sadaka ifanywayo kwa moto

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "kuwa sadaka ya kuteketeza

Nawe utazitoa

"Nawe utazitoa sadaka za nafaka zilizo na hamira au asali"

hazitatumika kuleta harufu ya kupendeza itolewayo juu ya madhabahu

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. ; "utazitumia kuleta harufu ya kupendeaza juu ya madhabahu" au "hutaziteketeza juu ya madhabu"

chumvi ya agano la Mungu wako

Huashiria kwamba chumvi ni ishara inayowakilisha agano la Mungu.