sw_tn/lev/02/11.md

24 lines
827 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa kwamba watu hao na makuhani yawapasa wafanye hivyo ili sadaka zao ziweze kukubalika kwake
# Hakutakuwa na sadaka ya nafaka utoayo kwa Yahweh itakayofanyizwa kwa hamira
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "Usitumie hamira kwenye sadaka ya nafaka uitoayo kwa Yahweh"
# kuwa sadaka ifanywayo kwa moto
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. : "kuwa sadaka ya kuteketeza
# Nawe utazitoa
"Nawe utazitoa sadaka za nafaka zilizo na hamira au asali"
# hazitatumika kuleta harufu ya kupendeza itolewayo juu ya madhabahu
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo tendaji. ; "utazitumia kuleta harufu ya kupendeaza juu ya madhabahu" au "hutaziteketeza juu ya madhabu"
# chumvi ya agano la Mungu wako
Huashiria kwamba chumvi ni ishara inayowakilisha agano la Mungu.