sw_tn/lev/01/03.md

20 lines
902 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Yahweh anaendele kumwambia Musa yawapasayo watu wa Israeli kufsny ili kwa mba sadaka zao zitakuwa zenye kubalika kwa Yahweh.
# .Iwapo toleo lake ... naye itambidi kutoa
Hapa "yake" na "naye" humaanisha mtu aletaye sadaka kwa Yahweh. laweza kufasiriwa katika nafsi ya pili kama lilivyo katika 1:1 : iwapo toleo lako...yapasa utoe
# ili iweze kukubalika mbele za Yahweh
Hili linaweza kufasiriwa katika muundo tendaji: :Ili kwamba Yahweh aikubali"
# Ataweka mikono yake
Hiki ni kitendo cha kiishara kinachomfananisha mtu na mnyama anayemtoa. Katika njia hii mtu anajitoa mwenyewe kwa Yahweh kwa kupitia mnyama, ili kwamba Mungu atasamehe dahambi za mtu huyo wanapomuua mnyama.
# ndipo itakuwa imekubalika badala yake ili kufanya upatanisho kwa ajili yake mwenyewe
Hii inaweza kufasiriwa katika muundo tendaji: "Kisha Yahweh ataikubali machini pake na kuzisamehe dhambi zake"