sw_tn/lev/01/03.md

902 B

Taarifa kwa ujumla

Yahweh anaendele kumwambia Musa yawapasayo watu wa Israeli kufsny ili kwa mba sadaka zao zitakuwa zenye kubalika kwa Yahweh.

.Iwapo toleo lake ... naye itambidi kutoa

Hapa "yake" na "naye" humaanisha mtu aletaye sadaka kwa Yahweh. laweza kufasiriwa katika nafsi ya pili kama lilivyo katika 1:1 : iwapo toleo lako...yapasa utoe

ili iweze kukubalika mbele za Yahweh

Hili linaweza kufasiriwa katika muundo tendaji: :Ili kwamba Yahweh aikubali"

Ataweka mikono yake

Hiki ni kitendo cha kiishara kinachomfananisha mtu na mnyama anayemtoa. Katika njia hii mtu anajitoa mwenyewe kwa Yahweh kwa kupitia mnyama, ili kwamba Mungu atasamehe dahambi za mtu huyo wanapomuua mnyama.

ndipo itakuwa imekubalika badala yake ili kufanya upatanisho kwa ajili yake mwenyewe

Hii inaweza kufasiriwa katika muundo tendaji: "Kisha Yahweh ataikubali machini pake na kuzisamehe dhambi zake"