forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
616 B
Markdown
20 lines
616 B
Markdown
# kiti chako cha enzi
|
|
|
|
"nguvu yako na mamlaka ya kutawala kama mfalme"
|
|
|
|
# vizazi na vizazi
|
|
|
|
"wakati wote"
|
|
|
|
# Kwanini unatusahau milele? Kwanini unatutelekeza kwa siku nyingi?
|
|
|
|
"ni kama vile utatusahau milele au usiturudie kwa kipindi kirefu"
|
|
|
|
# Fanya upya siku zetu kama zilivyo kuwa hapo zamani
|
|
|
|
"Fanya maisha yetu mazuri, kama yalivyo kuwa" au "Fanya tuwe wakuu kama tulivyo kuwa"
|
|
|
|
# vinginevyo labda uwe umetukataa na una hasira kwetu kupita kiasi
|
|
|
|
Maana inayo wezekana ni 1) mwandishi ana ogopa kwamba Yahweh anaweza kuwa na hasira asiwarejeshe au 2) anasema kuwa Yahweh ana hasira hadi hawezi kuwarejesha (UDB)
|