sw_tn/lam/04/11.md

12 lines
425 B
Markdown

# Yahweh alionyesha gadhabu yake yote; alimwaga hasira yake kali
Yahweh alikuwa na hasira sana, na amefanya kila kitu alichotaka kufanya kuonyesha alikuwa na hasira.
# alimwaga hasira yake kali
Hasira ya Mungu ni kama moto, maji ya moto anayo mwaga.
# Aliwasha moto Sayuni
Hii inaweza maanisha 1) hasira ya Mungu ni kama moto uliyo haribu Yerusalemu, au 2) kwamba Mungu alisababisha maadui wa chome Yerusalemu kwa moto.