sw_tn/lam/04/09.md

20 lines
382 B
Markdown

# Hao walio uawa kwa upanga
"Hao wanajeshi maadui waliyo waua
# hao walio kufa kwa njaa
"hao walio umwa na njaa hadi mauti"
# walio potea
"hao waliyo kuwa wembamba na wadhaifu kwasababu walikuwa wana kufa kwa njaa"
# wakatobolewa kwa ukosefu wa mavuno shambani
Ukosefu wa chakula unazungumziwa hapa kama ni upanga.
# Mikono ya wanawake wenye huruma
"wanawake wenye huruma"