sw_tn/lam/04/07.md

24 lines
693 B
Markdown

# Viongozi wake walikuwa wasafi kuliko theluji
Maana inayo wezekana; 1) "Viongozi wetu walikuwa wazuri kutazama awali" (UDB) kwasababu walikuwa wenye afya kimwili au 2) watu waliwapenda viongozi wao kwasababu viongozi walikuwa wasafi kimatendo jinsi theluji na maziwa yalivyo meupe.
# Viongozi wake
Viongozi wa Yerusalemu
# yakuti samawi
jiwe la gharama linalo tumika kwenye mikufu
# Muonekano wao umekuwa mweusi kama giza
Hii ya weza maanisha 1) jua limefanya ngozi za viongozi kuwa nyeusi au 2) moshi kutoka kwenye moto ulio choma Yerusalemu umefunika nyuso zao.
# hawatambuliki
"Hakuna anaye weza kuwatambua"
# imekuwa kavu kama kuni
kwasababu hawana chakula cha kutosha na maji