sw_tn/lam/04/03.md

12 lines
350 B
Markdown

# mbwa wa mitaani wanatoa maziwa yao kuwanyonyesha watoto wao
Hii ina maana kuwa mbwa wa mitaani wa kike kwa uhuru wanaruhusu watoto wao kunyonya.
# mbwa wa mitaani
mbwa wa kali, wa katili wa wanyama wa chafu
# binti wa watu wangu
Hili ni jina la kishairi la Yerusalemu, ambalo hapa la zungumziwa kama ni mwanamke. Ona jinsi ulivyo tafsiri 2:11