sw_tn/lam/03/55.md

16 lines
250 B
Markdown

# Nililiita jna lako
"Nilikuita kwa ajili ya msaada"
# kutoka kina cha shimo
Maana inayo wezekana ni 1) "kutoka kisima kirefu" au 2) "kutoka kaburini"
# Ulisikia sauti yangu
"Ulisikia nilicho kisema"
# Usifunge sikio lako
"Usikatae kunisikia"