# Nililiita jna lako "Nilikuita kwa ajili ya msaada" # kutoka kina cha shimo Maana inayo wezekana ni 1) "kutoka kisima kirefu" au 2) "kutoka kaburini" # Ulisikia sauti yangu "Ulisikia nilicho kisema" # Usifunge sikio lako "Usikatae kunisikia"