sw_tn/lam/01/20.md

20 lines
582 B
Markdown

# kwa kuwa nipo kwenye ugumu
Yerusalemu anaendelea kujizungumzia kama ni mwanamke, lakini sasa anazungumza moja kwa moja na Yahweh.
# tumbo langu lina nguruma
Neno "nguruma" la maanisha kuangaika kwa nguvu, kawaida kwa mzunguko. Hii haimanishi kiuhalisia, lakini ndivyo linavyo jisikia.
# moyo wangu umetibuka ndani yangu
"moyo wangu umevunjika" au "nina majonzi sana"
# upanga umemliza
Upanga una husu adui, na "chukuwa" yamanisha "kuua" "adui anaua"
# ndani ya nyumba kuna mauti tu
Maana inayo wezekana ni 1) katika nyumba, kila mtu ana kufa au 2) nyumba ni kama kaburi.