sw_tn/lam/01/18.md

24 lines
355 B
Markdown

# nimeas
Hapa Yerusalemu anaanza kuzungumza tena, kama alikuwa mwanamke.
# muone uzuni wangu
"ona jinsi gani nilivyo na majonzi"
# Mabikra wangu na wanaume wangu hodari
"watu wangu wengi"
# wanaume hodari
Ona jinsi ulivyo tafsiri 1:15
# walikuwa na hila kwangu
"wali ni saliti"
# kurejesha uhai wao
"kuokoa maisha yao" au "kurejesha uweza wao"