sw_tn/lam/01/06.md

24 lines
476 B
Markdown

# Uzuri umemwacha binti wa Sayuni
"Kila kitu kilicho kuwa kizuri cha binti wa Sayuni kimeharibiwa"
# binti wa Sayuni
Hili ni jina
# kama ayala ambaye haoni malisho
Watoto wa mfalme wanaliganishwa na swala asiye kuwa na kitu cha kula.
# ayala
Ayale ni mnyama wa umbo la kati, anaye kula majani ambaye mara nyingi uwindwa na wanadamu. Pia ni mnyama mzuri wa kumtazama.
# bila uwezo kwa
"lakini sio imara sana kukimbia kutoka"
# wanao wakimbiza
"mtu anaye wakimbiza"