sw_tn/jos/24/14.md

8 lines
251 B
Markdown

# Na kama inaonekana kuwa ni vibaya machoni penu
Hapa maneno "machoni penu" ni lugha mbili za picha zimetumika, inarejelea kwanza kwa macho yao, au inahusishwa na hamu/tamaa yao.
# nyumba yangu
Hapa inarejelea familia iliyoishi katika nyumba yake.