# Na kama inaonekana kuwa ni vibaya machoni penu Hapa maneno "machoni penu" ni lugha mbili za picha zimetumika, inarejelea kwanza kwa macho yao, au inahusishwa na hamu/tamaa yao. # nyumba yangu Hapa inarejelea familia iliyoishi katika nyumba yake.