sw_tn/jos/23/14.md

12 lines
449 B
Markdown

# Na sasa ninaenda katika njia ya dunia yote
Yoshua anatumia neno la upole kurejelea juu ya kifo chake. "Ninakwenda kufa"
# mnajua kwa moyo na roho zenu zote
Mahali hapa maneno "moyo" na "roho" yana maana sawa. Kwa pamoja yanatia mkazo juu ya ufahamu wa ndani wa mtu binafsi.
# Hakuna hata moja lililoshindikana
Maneno haya yanatia mkazo kwamba ahadi zote za Yahweh zimetimia. Hii pia yaweza kuelezwa kawa kauli kubalifu. "kila neno lilitimia"