sw_tn/jos/22/21.md

4 lines
208 B
Markdown

# Kama ilikuwa ni katika uasi..... basi Yahweh na atuadhibu.
Makabila matatu yanafanya kauli mbili zenye nadharia tete zinazosisitiza kuwa haikuwa kweli. Hawakujenga madhabahu ili kumwabudu mungu mwingine.