sw_tn/jos/19/40.md

16 lines
363 B
Markdown

# Upigaji wa kura ya saba
Tafasiri kirai hiki kama ulivyofanya katika 19:1
# ya saba
namba ya saba katika orodha
# Eneo lao la urithi
Nchi na miji ambayo kabila la Dani liliipokea inasemwa kana kwamba ulikuwa ni urithi ambao waliupokea kama mali ya kudumu,
# Zora, Eshitaoli, Iri Shemeshi, 42Shaalabini, Aijaloni, na Ithila
Haya ni majina ya mahali/sehemu