sw_tn/jos/19/32.md

16 lines
343 B
Markdown

# Upigaji wa kura wa mara ya sita
Tafasiri kirai hiki kama ulivyofanya katika 19:1
# ya sita
namba ya sita katika orodha
# walipewa kufuatana na koo zao
Hii inaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "ambayo Yoshua aliwapa kwa koo zao
# Helefu...Zaananimu...Adaminekebu...Yabuneeli...Lakumu...Zazinothi Tabori Hukkoki
Haya ni majina ya miji