sw_tn/jos/19/24.md

16 lines
336 B
Markdown

# Upigaji wa kura ya tano
Tafasiri kirai hiki kama ulivyofanya katika 19:1
# wa tano
namba ya tano katika orodha
# walipewa kwa koo zao
Hii inaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "ambayo Yoshua aliwapa kwa koo zao"
# Helkathi, hali, Beteni, Akshafu, Allameleki, Amadi, na Mishali..Shihori Libnathhi
Haya ni majina ya sehemu/mahali