sw_tn/jos/19/08.md

16 lines
496 B
Markdown

# Huu ulikuwa ni urithi wa kabila la Simon
Nchi na miji ambayo kabila la Simoni liliipokea inasemwa kana kwamba ulikuwa ni urithi ambao waliupokea kama mali ya kudumu
# waliopewa kwa koo zao
Hii inaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "ambayo Yoshua aliwapa kwa koo zao"
# Hii ni kwasababu nchi waliyopewa kabila la Yuda
Sentensi hii inaweza kuelezwa wa muundo tendaji: "Sehemu ya nchi ambayo Yoshua aliigawa kwa kabila la Yuda"
# sehemu yao ya katikati
"Katikati ya sehemu ya nchi ya Yuda"