sw_tn/jos/17/05.md

16 lines
413 B
Markdown

# alipewa sehemu kumi za nchi
Hii inaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Yoshua aliwapa sehemu kumi za nchi."
# "sehemu kumi"
"vipande kumi"
# aliupokea urithi
Nchi inaongelewa hapa kana kwamba ulikuwa ni urithi ambao watu walilpewa kama mali ya kudumu. "kutupa sisi sehemu ya nchi kama urithi"
# Nchi ya Gileadi iligawanywa
Hii inaweza kuelezwa kwa kutumia muundo tendaji. "Yoshua aliwapa nchi ya Gileadi"